Nyumba yako binafsi
katika ardhi ya Zanzibar.
Bustani ni mahali pa kifahari, jirani na soko la kisasa, nyumba za ubora wa juu zenye vyumba vya kulala 3 hadi 5, zikiwa zimejengwa katika viunga vizuri, kila moja ikiwa imejengwa kwa mtindo wake kwa ajili ya kupata mandhari nzuri na mazingira binafsi.
Zimekamilika kwa vionjo na mvuto, nyumba hizi zimebuniwa ili kukufariji na kukuliwaza kiakili. Nyumba iliyokamilishwa kwa ubora wa juu, ikiwa na bustani za mimea ya kitropiki- ni ardhi yako binafsi ya Zanzibar.